News
KATIKA dunia ya sasa inayotawaliwa na teknolojia, uwekezaji katika Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), si hiari, bali ni hitaji la msingi kwa maendeleo ya taifa. Wizara ya Elimu, Sayansi na ...
MIUNDOMBINU ya barabara katika hifadhi za taifa nchini imeendelea kuwa katika hali duni, hata kusababisha vivutio vya utalii ...
BARAZA la Mawaziri jana lilifanya kikao cha mwisho katika uongozi wa serikali uliopo, chini ya Rais Samia Suluhu Hassan ...
KAIMU Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amemweleza Jaji Hamidu Mwanga kwamba amri ya ...
MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Alex Malasusa amesema katika maisha ya kila siku, watu wengi wanakutana na maumivu mengi, yakiwamo madhila ya mikopo. “Mkristo uliye ...
Ni wiki ya mshikemshike jijini Dodoma ambako vikao vya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) itakapokutana kujadili ...
DODOMA Regional Commissioner , Rosemary Senyamule, has announced that the region is set to launch a strategic tourism development plan aimed at enhancing the local economy. She stated that the plan is ...
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa wa ACT-Wazalendo, Abdul Nondo, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa ...
VITA ya kuwania ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) imezidi kushika kasi miongoni mwa makada wake. Baadhi ya makada na ...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Selemani Jafo amepanga kukutana na wazalishaji wote wa saruji nchini hivi karubuni ili ...
Watu watatu wamenusurika kifo baada ya gari aina ya Toyota kugonga bodaboda na kuingia ndani ya nyumba iliyoko Mtaa wa Jembe ...
AWAMU ya tatu ya programu ya ufadhili wa masomo ngazi ya shahada ya uzamili katika uhandisi wa nishati imezinduliwa huku ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results